Mapito – Official Lyrics

  • Save

Below is the Mapito Official Lyrics and Video.

Verse 1:
Mimi Na shangaa,
Kumbe Wakati Wa Mapito,
Mambo Yote Hubadilika,
Mimi Nashangaa, Kumbe Wakati Wa Mapito,
Hata Rafiki Anakutoroka,
Mim Nashangaa,
Kumbe Wakati Wa Mapito,
Hauna Wa Kukutia Moyo,
Kweli Nashangaa, Kumbe Wakati Wa Mapito,
Mambo Yot Hubadilika,
Hizi Miaka Zote Mpenzi,
Tumekuwa Tu Vizuri,
Lakini Kuanza Jan Unabadilika,
Hutaki Kuniona, Kunikaribia Hutaki Mpenzi,
Pesa, Unasemanga, Kwamba Sina pesa,
Hizi Miaka Zote Mpenzi,
Leo Ndio Umefunguka Macho,
Umeona Kwamba Mi Masikini, Sinanga Pesa,

Afadhali Uniache Jinsi Ulivyonipata,
Najua Ni Mapito Tu,
Bwana Ananishughulikia,
Nasema Siwezi,
Kumuacha Mungu Wangu,
Juu Yako Mpenzi,
Mungu Wangu Anani Shughulikia Tu Eh He,

Chorus:
Uchungu Wa Mwana Ni Mzazi Aujuaye,
Mapito Yangu, Baba Wa Mbingu Anaona,
Uchungu Wa Mwana Ni Mzazi Aujuaye,
Mapito Yangu, Baba Wa Mbingu Anaona,

Verse 2: 
Jamani, Wakati Wa Mapito, Mapito Wo
Usingojee Kupigiwa Makofi, Bali Kupigwa Makofi,
Jamani, Wakati Wa Mapito, Usitarajie Kutiwa Moyo,
Bali Kuvunjwa Moyo,
Wakati Wa Mapito, Mapito Wo,
Usitarajia Marafiki Bali Manafiki Kibao Oh,
Utakapo Pata Kesho, Wengine Wao Watakurudia,Ah,
Watasema Wanakujua Watasema Walisimama Na Wewe,
Ah, Usiwakemee,
Mungu, Mungu Ndiye Analipa Yeeee,

Chorus:
Uchungu Wa Mwana Ni Mzazi Aujuaye,
Mapito Yangu, Baba Wa Mbingu Anaona,
Uchungu Wa Mwana Ni Mzazi Aujuaye,
Mapito Yangu, Baba Wa Mbingu Anaona,

Atatenda Tu, Tenda Tu, Yeye
Atatenda Tu, Tenda Tu, Yeye

Chorus:
Uchungu Wa Mwana Ni Mzazi Aujuaye,
Mapito Yangu, Baba Wa Mbingu Anaona,
Uchungu Wa Mwana Ni Mzazi Aujuaye,
Mapito Yangu, Baba Wa Mbingu Anaona,

Scroll to Top
Copy link
Powered by Social Snap